GET /api/v0.1/hansard/entries/1066116/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1066116,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1066116/?format=api",
    "text_counter": 82,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Cherargei",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13217,
        "legal_name": "Cherarkey K Samson",
        "slug": "cherarkey-k-samson"
    },
    "content": "Bi. Naibu Spika, singependa kumkatiza rafiki yangu, Sen. Kwamboka. Amesema kuwa Maseneta wateule hawapigi kura. Nina fikiri hivyo nikutosema uwazi kwa sababu kulingana na Katiba, kuna maamuzi mengi tunayo fanya katika Bunge la Seneti. Kusema hivyo ni kuchanganya uma. Angesema ya kwamba Maseneta wateule wamekuwa wakipiga kura kwa maamuzi yasiyo husu Kaunti. Haitakuwa vyema kusema wamekuwa wakitazama tuu. Hawakuwa wakitazama"
}