GET /api/v0.1/hansard/entries/1066119/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1066119,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1066119/?format=api",
"text_counter": 85,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Kwamboka",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 9246,
"legal_name": "Beatrice Kwamboka Makori",
"slug": "beatrice-kwamboka-makori"
},
"content": "Bi Naibu Spika, hiyo si hoja ya nidhamu. Ningependa kumkumbusha ya kwamba ukiangalia katika Kaunti ya Kakamega, kuna wale Maseneta wateule ambao walikuwa wamepewa ruhusa ya kupiga kura kama Seneta wa kaunti hiyo hayupo. Tuliona katika kisa cha Kakamega ambapo Seneta wa hiyo Kaunti aliwanyima nafasi Maseneta wateule kupiga kura. Ndiyo nina sisitiza ya kwamba akina mama tujitoe kinaga ubaga ili tuweze kuenda katika viwanja tupiganie viti hivi sawa sawa."
}