GET /api/v0.1/hansard/entries/1066120/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1066120,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1066120/?format=api",
"text_counter": 86,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Kwamboka",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 9246,
"legal_name": "Beatrice Kwamboka Makori",
"slug": "beatrice-kwamboka-makori"
},
"content": "Bi Naibu Spika, nikizidi kuzungumza, hiki kiti cha Seneti cha akina mama kuna wale wanasema akina mama walio chaguliwa katika kaunti na walio kwenye Bunge la Kitaifa wataletwa hapa na hawatakuwa na pesa za miradi. Ninge penda kuwakumbusha kuwa hivyo viti wakati viliundwa havikuwa na pesa za miradi. Wenyewe walika chini na wakatengeneza mpaka wakapata hicho kitita cha pesa. Kuna uwezekano tukikuja hapa hata sisi, tutaka chini ili tujue jinsi ya kupata hiyo pesa ili iweze kusaidia wananchi wa Kenya."
}