GET /api/v0.1/hansard/entries/1066122/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1066122,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1066122/?format=api",
    "text_counter": 88,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Kwamboka",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 9246,
        "legal_name": "Beatrice Kwamboka Makori",
        "slug": "beatrice-kwamboka-makori"
    },
    "content": "Katika viti vya Wabunge Wateule, katika Bunge la Kaunti na Bunge la Kitaifa, ikifika wakati wa uchaguzi, akina mama wanaofaa kujaza viti hivyo kuna wale Maseneta, Wabunge wa Kitaifia au Kaunti walioteuliwa na vyama vyao wanao pitisha wakati unao faa. Katika Mswada huu pame wekwa kwamba mtu anaweza kuteuliwa kwa muda wa miaka 10 pekee ili aweze kuachia wengine kuteuliwa. Bi Naibu Spika, kuna fedha za kusawazisha au Equalization Fund, kwa wale ambao hawata pata nafasi ya kuongezewa maeneo bunge, wata faidika kwa pesa hizo ili waweze kujiendeleza. The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate."
}