GET /api/v0.1/hansard/entries/1066123/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1066123,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1066123/?format=api",
"text_counter": 89,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Kwamboka",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 9246,
"legal_name": "Beatrice Kwamboka Makori",
"slug": "beatrice-kwamboka-makori"
},
"content": "Kuna Bodi ya kusaidia vijana inayoundwa. Hiyo ni ya maana kwa kuwa watafuatilia kila kaunti kuangalia kama pesa hiyo inatumika inavyotakikana. Ukienda katika kaunti nyingi, utapata kuwa kuna zile kazi ambazo vijana wanafaa kufanya ambazo hawapewi ila zinapewa watu wengine. Nina himiza wananchi wa Kenya tushikane tupitishe Mswada huu kwa sababu hakuna kitu ambacho kilicho kizuri asilimia mia moja. Kila kitu kina kasoro. Huu ni mwanzo. Tutapitisha na wakati mwingine wengine watakuja na kubadilisha. Nina himiza akina mama wote nchi nzima kuwa Mswada huu ni wetu. Tuungane tuupitishe kwa sababu utatusaidia na kusaidia wenzetu watakaokuja baadaye."
}