GET /api/v0.1/hansard/entries/1066128/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1066128,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1066128/?format=api",
"text_counter": 94,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Madzayo.",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Bi Naibu Spika, kwanza nina mshukuru sana Mwenyekiti Sen. Omogeni pamoja na Kamati yake ya Haki, Masuala ya Sheria na Haki za Binadamu. Ningependa kuongea kwa niaba ya watu wa Kaunti ya Kilifi na Kenya kwa ujumla. Hisitoria sasa hivi ina andikwa katika Kenya ya kwamba jambo kama hili limketokea. Tumepata bahati ya kuweza kugeuza Katiba hii. Kwanza ieleweke--"
}