GET /api/v0.1/hansard/entries/1066131/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1066131,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1066131/?format=api",
    "text_counter": 97,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Madzayo",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 679,
        "legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
        "slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
    },
    "content": "Bi Naibu Spika ninaunga mkono Mswada huu. Kipengele cha kwanza cha Katiba kinasema kwamba- “Mamlaka yote makuu ni ya wananchi wa Kenya na yanaweza kutekelezwa tuu kulingana na Katiba hii” Hii inamaanisha Mkenya yeyote pahali popote alipo amepewa jukumu la kuambia aliyemchagua ni kitu gani anatakikana kutafuta, kusema au kuwakilisha katika Bunge."
}