GET /api/v0.1/hansard/entries/1066133/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1066133,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1066133/?format=api",
"text_counter": 99,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Madzayo",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 679,
"legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
"slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
},
"content": "Maseneta wengi wamechaguliwa na wengine wameteuliwa. Lakini, sote tumepewa majukumu na wale tunao wawakilisha hapa ndani ya Bunge. Kule nyumbani kuna sitofahamu ya watu ambao hawawezi kuelewa. Kwa Kiswahili tunasema ya kwamba ‘mto au maji hufuata mkondo’. Lazima tujukumikie waliotupa mamlaka haya ya kuja kuwawakilisha ndani ya Bunge kwa kusema, kuyanakili na kuyatimiza."
}