GET /api/v0.1/hansard/entries/1066134/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1066134,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1066134/?format=api",
"text_counter": 100,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Madzayo",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 679,
"legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
"slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
},
"content": "Watu wa nyumbani walipiga kura nakupitisha Mswada huu. Kwa hivyo ni jukumu langu kama kiongozi wao ndani ya Bunge pamoja na dada yangu, Sen. Zawadi, kuwakilisha na kutetea haki zao hapa ndani. Ndio sababu ninasimama hapa nikisema ya kwamba niwajibu wetu kupitisha Mswada huu. Ndio sababu ninasema ninaunga mkono. The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate."
}