GET /api/v0.1/hansard/entries/1066242/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1066242,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1066242/?format=api",
    "text_counter": 208,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Kinyua",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13202,
        "legal_name": "John Kinyua Nderitu",
        "slug": "john-kinyua-nderitu-2"
    },
    "content": "Asante, Bw. Spika wa Muda, kwa kunipa fursa hii. Kwanza kabisa, napongeza Kamati ya Haki, Maswala ya Kisheria na Haki za Kibinadamu ambapo Mwenyekiti wake ni Sen. Omogeni kwa kazi nzuri waliofanya kuchanganua mabadiliko ya kikatiba. Maswala ya kikatiba ni mambo muhimu ambayo tunapaswa kuangalia kwa mapana na marefu."
}