GET /api/v0.1/hansard/entries/1066243/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1066243,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1066243/?format=api",
    "text_counter": 209,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Kinyua",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13202,
        "legal_name": "John Kinyua Nderitu",
        "slug": "john-kinyua-nderitu-2"
    },
    "content": "Bw. Spika wa Muda, kabla sijajitosa katika hayo mabadiliko ya kisheria, ni vizuri ijulikane wazi kwamba jambo la dharura wakati huu ni maswala yanayowakumba Wakenya. Kuna ugongwa wa COVID-19 unaowasumbua Wakenya. Watu wengi wanasumbuliwa na ugonjwa huo. Kule India watu wengi wanaendelea kusononeka kutokana na ugongwa huo. Jambo ambalo tunafaa kuzingatia ni kuhakikisha kwamba Wakenya wetu wanajikinga kutokana na ugonjwa huo kwa kuwapa chanjo."
}