GET /api/v0.1/hansard/entries/1066250/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1066250,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1066250/?format=api",
"text_counter": 216,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Kinyua",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13202,
"legal_name": "John Kinyua Nderitu",
"slug": "john-kinyua-nderitu-2"
},
"content": "Nilisikia wenzangu wakisema yakwamba ukiongeza hao viongozi wakenya hawata pigana tena. Hilo si jambo la kweli kwa sababu hao ni watu ambao wanajitakia makuu wenyewe. Yale ambayo tungekubaliana ni kwamba mtu anafaa kukubali anaposhidwa. Mswahili anasema ya kwamba asiyekubali kushindwa sio mshindani. Hatuwezi tukasema ya kwamba tutakuwa na mawiyiano kwa sababu tutatengeneza nyadhifa nyingi. Hilo sio ukweli kwa sababu nchi zingine zina viongozi wengi lakini watu bado hupigana."
}