GET /api/v0.1/hansard/entries/1066251/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1066251,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1066251/?format=api",
    "text_counter": 217,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Kinyua",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13202,
        "legal_name": "John Kinyua Nderitu",
        "slug": "john-kinyua-nderitu-2"
    },
    "content": "Katika kaunti zetu na maeneo bunge, watu hushindani wengi lakini huwa hawapigani. Kwa hivyo, kuongeza hizi viti vya waziri mkuu na manaibu wa waziri mkuu ni kuongeza ushuru kwa wakenya ambao wamegharimikia makubwa na wameathirika na ugonjwa wa Covid-19 . Wakenya wengi wamepoteza kazi na wamefunga biashara zao, haswa wale ambao hufanya biashara usiku. Sioni haja ya kuongeza viti hivyo."
}