GET /api/v0.1/hansard/entries/1066252/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1066252,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1066252/?format=api",
"text_counter": 218,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Kinyua",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13202,
"legal_name": "John Kinyua Nderitu",
"slug": "john-kinyua-nderitu-2"
},
"content": "Tumekuwa tukiambiwa ya kwamba pesa zinazoenda katika kaunti zetu zitaongezeka kutoka asilimia 15 hadi asilimia 35. Tulikuwa hapa tukijadili mswada wa ‘ one man, one vote, one shilling .’ Tulikuwa na Sen. Cherargei, Sen. Kihika, Sen. Loitiptip na Sen. Wetangula. Tulijadili kwa urefu na upana ila ulikuwa kizungumkuti. Ulikuwa ni nguo kuchanika. Sisi tilikaa hapa na kuzungumza bali ilimchukua rais mwenyewe kuongeza zaidi ya Kshs50 billioni. Kwa nini alifanya vile na haikuwa The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate."
}