GET /api/v0.1/hansard/entries/1066253/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1066253,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1066253/?format=api",
"text_counter": 219,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Kinyua",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13202,
"legal_name": "John Kinyua Nderitu",
"slug": "john-kinyua-nderitu-2"
},
"content": "imeandikwa kwa katiba. Hakuvunja sheria yoyote. Katiba yasema kuwa pesa chache zaidi zinazopaswa kwenda kaunti ni asilimia kumi na tano. Kwa hivyo tunaweza kuongeza kutoka asilimia 15 kwenda mbele. Kwa hivyo sioni mbona ni lazima hili jambo hili liandikwe katika katiba yetu."
}