GET /api/v0.1/hansard/entries/1066254/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1066254,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1066254/?format=api",
"text_counter": 220,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Kinyua",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13202,
"legal_name": "John Kinyua Nderitu",
"slug": "john-kinyua-nderitu-2"
},
"content": "Kumekuwa na shida Kenya baada ya ugonjwa huu kuja kwa sababu kupata hela imekuwa ni kizungumkuti. Tungengoja kidogo kwa sababu hakuna mtu ambaye anasema kwamba kuna ubaya iwapo asilimia 30 itaenda mashinani. Hil ni nzuri tena sana lakini ni lazima uangalie eti unasema hayo maneno wakati gani."
}