GET /api/v0.1/hansard/entries/1066258/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1066258,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1066258/?format=api",
    "text_counter": 224,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Kinyua",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13202,
        "legal_name": "John Kinyua Nderitu",
        "slug": "john-kinyua-nderitu-2"
    },
    "content": "Hii ni kwa sababu huyo mjumbe wa kaunti ndiye anafahamu sehemu aliyotoka na anajua mahitaji ya watu wake kama maji ama barabara. Sen. Kang’ata alikuwa ameleta huo mswada lakini sasa iko katika BBI na tutaiweka mkazo ndiposa tuweze kuipitisha. The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate."
}