GET /api/v0.1/hansard/entries/1066262/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1066262,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1066262/?format=api",
"text_counter": 228,
"type": "speech",
"speaker_name": "The Temporary Speaker",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "(Sen. (Dr.) Mwaura): Asante sana kwa kujieleza vizuri sana ila ungenitia kwenye mashaka wakati ulikuwa unasema kwamba Spika hawezi kustahimili makali ya chumvi. Lakini ninakubaliana nawe kwamba lazima tugawe fedha kulingana wingi wa watu, kulingana na rasilmali. Sasa hivi ninampa nafasi Prof. Ongeri. Kabla hujazungumza, ni vizuri niseme ya kwamba idadi ya Maseneta imeweza kuongezeka, kwa hivyo hatutaweza kuzidisha muda wa kikao Zaidi ya saa 6.30 p.m. Nafikiri kutakuwa na kikao maalum kitakaorejelewa alhamisi ndiposa Maseneta kama Ochillo Ayacko na Christine Zawadi Gona waweze kuchangia."
}