GET /api/v0.1/hansard/entries/1066678/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1066678,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1066678/?format=api",
    "text_counter": 116,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Faki",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13211,
        "legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
        "slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
    },
    "content": "Asante Bw. Spika. Yangu yatakuwa mafupi sana. Tumefanya baadhi ya impeachment kutumia Kamati na nyingine tukafanya kupitia Bunge nzima la Seneti. Bunge nzima la Seneti linatoa uwazi zaidi kuliko kujifungia katika Kamati. Tuliona katika impeachment ya Taita Taveta na Kirinyaga, Kamati ilitoa uamuzi wake. Kwa hivyo, haina uwazi. Ninapendekeza impeachment ifanywe kupitia Bunge lote Seneti kwa sababu tutaonekana wazi na kila mtu. Makosa yatasomwa paruwanja. Kinyume na wale wanaosema kwamba gavana apewi nafasi nzuri ya kujitea---"
}