GET /api/v0.1/hansard/entries/1066805/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1066805,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1066805/?format=api",
"text_counter": 18,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mhe. Lusaka",
"speaker_title": "Spika wa Seneti",
"speaker": {
"id": 13517,
"legal_name": "Kenneth Lusaka",
"slug": "ken-lusaka"
},
"content": "Waheshimiwa Wabunge, Maspika wa Bunge, wakiitikia ombi hilo, wameitisha Kikao hiki cha Pamoja cha Bunge. Nilitoa Arifa ya Kikao hiki cha pamoja kupitia Gazeti Rasmi la Serikali, Arifa Nambari 4200 ya tarehe 3 Mei, 2021 kwa Waheshimiwa Maseneta."
}