GET /api/v0.1/hansard/entries/1066825/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1066825,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1066825/?format=api",
"text_counter": 38,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mhe. Samia Suluhu Hassan",
"speaker_title": "Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania",
"speaker": null,
"content": "Ninajiona mwenye bahati kubwa kupewa heshima hii adhimu na ya kipekee. Kama alivyosema Mhe. Spika, aliyewahi kuhutubia hapa ni Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete, kutoka Tanzania na mimi ni wa pili. Ni bahati kubwa sana."
}