GET /api/v0.1/hansard/entries/1066859/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1066859,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1066859/?format=api",
    "text_counter": 72,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mhe. Samia Suluhu Hassan",
    "speaker_title": "Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania",
    "speaker": null,
    "content": "Asubuhi nilikuwa nikiongea na wafanyi biashara nikawaambia kuwa, hivi tunavyoishi sasa hivi wote tukiziba midomo na pua, huko nyuma kabla ya Korona kuja, na kule vijijini mwetu, mtindo huu tulikuwa tunawafanyia mbuzi ili wasile mazao ya watu njiani. Leo Korona imebadilisha mfumo wa maisha. Wanadamu ndio tunaojifunga. Huyu ni adui kwetu."
}