GET /api/v0.1/hansard/entries/1066864/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1066864,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1066864/?format=api",
"text_counter": 77,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mhe. Samia Suluhu Hassan",
"speaker_title": "Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania",
"speaker": null,
"content": "Tunapoendelea kusubiri mapendekezo ya wataalamu na hatua za kuchukua tahadhari zote, ikiwemo kusitisha baadhi ya safari kwenye maeneo ya mikurupuko zinachukuliwa. Kwa vyovyote vile itakavyopendekezwa, nina hakika kuwa lazima tushirikiane na jirani zetu ikiwemo Kenya katika kukabiliana na janga hili."
}