GET /api/v0.1/hansard/entries/1066865/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1066865,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1066865/?format=api",
"text_counter": 78,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mhe. Samia Suluhu Hassan",
"speaker_title": "Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania",
"speaker": null,
"content": "Mapambano dhidi ya janga hili yanapaswa kutuleta pamoja na sio kutufarakanisha. Ni imani kwamba tukiweka jitihada na maarifa yetu pamoja, tutakabiliana na janga hili bila uoga. Tutashinda na maisha ya wananchi wetu yataendelea kuwa ya kawaida huku tukichukua athari za kutosha."
}