GET /api/v0.1/hansard/entries/1066867/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1066867,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1066867/?format=api",
"text_counter": 80,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mhe. Samia Suluhu Hassan",
"speaker_title": "Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania",
"speaker": null,
"content": "Tuliguswa sana na uamuzi wa Bunge la Seneti kupitia Kikao chake cha Machi, 24, 2021 kujadili na kusajili kwenye kumbukumbu za Bunge salamu maalum za rambirambi kufuatia kifo cha hayati Rais (Dr.) Magufuli. Tunawashukuru sana."
}