GET /api/v0.1/hansard/entries/1066868/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1066868,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1066868/?format=api",
"text_counter": 81,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mhe. Samia Suluhu Hassan",
"speaker_title": "Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania",
"speaker": null,
"content": "Nafahamu pia viongozi wa mihimili mitatu ya Serikali ya Kenya, ukiwemo wewe Mheshimiwa Spika wa Bunge la Taifa, na Spika wa Seneti, Mheshimiwa Kenneth Lusaka, mlitembelea makazi ya balozi wetu kutoa salamu za pole. Sisi Watanzania tulifarijika sana kwa kuwa nasi wakati wa majonzi. Hatuna la kuwalipa ndugu zetu Wakenya, zaidi ya kusema Mungu awabariki sana."
}