GET /api/v0.1/hansard/entries/1066869/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1066869,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1066869/?format=api",
    "text_counter": 82,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mhe. Samia Suluhu Hassan",
    "speaker_title": "Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania",
    "speaker": null,
    "content": "Wakati wa msiba na dhiki ndio wakati unapomjua ndugu yako wa kweli na jirani zako wa majira yote. Mlitudhihirishia bila chembe na shaka kuwa, nyinyi ni ndugu zetu wa shida na raha. Asanteni sana."
}