GET /api/v0.1/hansard/entries/1066881/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1066881,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1066881/?format=api",
    "text_counter": 94,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mhe. Samia Suluhu Hassan",
    "speaker_title": "Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania",
    "speaker": null,
    "content": "Waheshimiwa Spika, Maseneta na Wabunge wa Bunge la Kitaifa, Tanzania na Kenya ni wanachama na waasisi wa Jumuia ya Afrika Mashariki. Nchi zetu mbili ndizo zenye eneo kubwa kijiografia na idadi kubwa ya watu na milango pekee ya bahari kwa nchi zingine za Afrika Mashariki. Ukweli huu umekuja na wajibu na dhima kubwa kwa nchi zetu mbili."
}