GET /api/v0.1/hansard/entries/1066882/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1066882,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1066882/?format=api",
"text_counter": 95,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mhe. Samia Suluhu Hassan",
"speaker_title": "Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania",
"speaker": null,
"content": "Uhusiano wa nchi zetu mbili ukishamiri, Afrika Mashariki nzima itashamiri. Biashara kati yetu ikistawi, Afrika Mashariki nzima inastawi. Hivyo basi, hatuna budi nchi zetu mbili kutambua wajibu wetu na dhima yetu hiyo kwa upande huu Mungu alikotuumbia, Afrika Mashariki. Tunapaswa tutambuwe kuwa kila mara panapotokea"
}