GET /api/v0.1/hansard/entries/1066919/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1066919,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1066919/?format=api",
"text_counter": 15,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mhe. Lusaka",
"speaker_title": "Spika wa Seneti",
"speaker": {
"id": 13517,
"legal_name": "Kenneth Lusaka",
"slug": "ken-lusaka"
},
"content": "Kuambatana na Kanuni ya Kudumu 25(1) ya Kanuni za Kudumu za Bunge la Taifa na Kanuni ya Kudumu 26 (2) ya Kanuni za Kudumu za Seneti zinazohusu hotuba za Wageni Mashuhuri, Maspika wa Bunge walipokea ombi la kumruhusu Mheshimiwa Mtukufu Rais Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ambaye yuko hapa katika ziara rasmi ya kitaifa nchini Kenya, kuhutubia Kikao cha pamoja cha Bunge."
}