GET /api/v0.1/hansard/entries/1066953/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1066953,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1066953/?format=api",
    "text_counter": 49,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mhe. Samia Suluhu Hassan",
    "speaker_title": "Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania",
    "speaker": null,
    "content": "Lakini zaidi, kuna Mohamed Faki Mwinyihaji ambaye ni Seneta wa Mombasa na jina lake ni jina safi la Kizanzibari. Kwa hivyo, hatuwezi kutengana. Hiyo ni mifano chache tu. Fundo la pili ni historia. Kabla ya kuanzishwa kwa Jumuiya ya Afrika Mashariki, 1967, nchi zetu mbili hizi tayari zilisha kuwa chini ya East Africa Common Service"
}