GET /api/v0.1/hansard/entries/1066957/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1066957,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1066957/?format=api",
    "text_counter": 53,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mhe. Samia Suluhu Hassan",
    "speaker_title": "Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania",
    "speaker": null,
    "content": "Ingekuwa wanyama wana uraia, wangekuwa raia wa wapi? Wakitoka Serengeti, hao huingia Maasai Mara. Hata tausi wetu walioko Ikulu Tanzania, wana ndugu zao Ikulu ya Nairobi. Kwa hivyo, kama tausi na wanyama wana undugu, sisi wanadamu tunatengana wapi? Hatuna pa kutengana."
}