GET /api/v0.1/hansard/entries/1066960/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1066960,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1066960/?format=api",
    "text_counter": 56,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mhe. Samia Suluhu Hassan",
    "speaker_title": "Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania",
    "speaker": null,
    "content": "Kutokana na uhusiano wetu mzuri, kampuni za Tanzania zimewekeza nchini Kenya lakini tumekuja kwa uchache sana. Tuko kama kampuni 25 mpaka 30 zilizosajiliwa na mamlaka ya uwekezaji ya Kenya. Miradi hiyo ina dhamani ya Kshs19.33 billion na kutoa ajira kwa raia kama 2,642. Kwa hivyo, Tanzania tuna deni kubwa kuja Kenya lakini pamoja na mapungufu hayo tuliyo nayo, bado tunawaalika Wakenya wengi zaidi waje Tanzania kuwekeza."
}