GET /api/v0.1/hansard/entries/1066965/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1066965,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1066965/?format=api",
    "text_counter": 61,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mhe. Samia Suluhu Hassan",
    "speaker_title": "Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania",
    "speaker": null,
    "content": "mbili kushirikiana kujenga miradi hiyo. Ni ishara tosha kuwa uhusiano wetu si wa kuishia kesho, kesho kutwa wala mtondogoo. Serikali zetu zinafanya uwekezaji huo kwa kuamini kuwa uhusiano wetu uko vizuri na utaendelea kuwepo daima."
}