GET /api/v0.1/hansard/entries/1066968/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1066968,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1066968/?format=api",
    "text_counter": 64,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mhe. Samia Suluhu Hassan",
    "speaker_title": "Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania",
    "speaker": null,
    "content": "Waheshimiwa Maspika, Maseneta na Wabunge wa Bunge la Kitaifa, sote tunafahamu kwamba, dunia inakabiliwa na janga kubwa la ugonjwa wa Korona ambalo limeathiri kasi ya ukuaji wa uchumi wa nchi zetu. Limepelekea kwa sehemu kubwa kutulazimisha kubadili mfumo wetu wa maisha."
}