GET /api/v0.1/hansard/entries/1066971/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1066971,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1066971/?format=api",
"text_counter": 67,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mhe. Samia Suluhu Hassan",
"speaker_title": "Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania",
"speaker": null,
"content": "Niliwaeleza Watanzania katika Hotuba yangu katika Bunge la Nchi yetu - na ninapenda kurejelea hapa – kwamba, sisi Tanzania sio kisiwa. Tunaishi kama sehemu ya familia ya jumuia ya kimataifa. Kwa hivyo, kupitia Kamati ya Wataalamu niliyoiunda, tumeanza mchakato wa kutafakari mbinu zaidi za kukabiliana na janga hili."
}