GET /api/v0.1/hansard/entries/1066980/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1066980,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1066980/?format=api",
    "text_counter": 76,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mhe. Samia Suluhu Hassan",
    "speaker_title": "Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania",
    "speaker": null,
    "content": "Ndugu zangu, sisi ni wafuatiliaji wakubwa wa mikutano ya Bunge la Kenya. Mimi binafsi huwa ninapenda kusikiliza Bunge la Kenya. Tunafanya hivyo kwa kuwa yanayojadiliwa humu yanatuhusu. Bunge la Seneti na Bunge la Kitaifa la Kenya zinatusisimua kwa mengi. Tunafurahia upana wa demokrasia yake, uzito wa mijadala na hamasa ya Wabunge wake."
}