GET /api/v0.1/hansard/entries/1066982/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1066982,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1066982/?format=api",
    "text_counter": 78,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mhe. Samia Suluhu Hassan",
    "speaker_title": "Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania",
    "speaker": null,
    "content": "Tulifurahishwa zaidi na uamuzi wenu wa kuanza kutumia lugha ya Kiswahili Bungeni. Ndicho kinachonifanya nisikilize Bunge la Kenya. Ninaenjoy Kiswahili kile. Kiswahili chenu kina vionjo vingi ambavyo peke yake ni burudani tosha kusikiliza."
}