GET /api/v0.1/hansard/entries/1066984/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1066984,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1066984/?format=api",
    "text_counter": 80,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mhe. Samia Suluhu Hassan",
    "speaker_title": "Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania",
    "speaker": null,
    "content": "Nilikuwa ninamsikiliza Mheshimiwa Spika anavyoshindwa kutaja namba za miaka kwa Kiswahili. Inafurahisha kwamba mmeshatunga Kanuni za Kudumu kwa Kiswahili na Mkamwalika Mheshimiwa Job Ndugai kuja kusizindua Oktoba, 31, 2019. Hili linatia moyo kwamba tuko pamoja na kweli mnataka kutumia Kiswahili, lakini hatua kwa hatua."
}