GET /api/v0.1/hansard/entries/1067154/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1067154,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1067154/?format=api",
"text_counter": 148,
"type": "speech",
"speaker_name": "Samburu CWR, KANU",
"speaker_title": "Hon. (Ms.) Maison Leshoomo",
"speaker": {
"id": 379,
"legal_name": "Maison Leshoomo",
"slug": "maison-leshoomo"
},
"content": "Wananchi wana maoni na akili nyingi kushinda sisi tuliochaguliwa hapa. Leaders wako mashinani na wanaendesha Kenya vizuri inavyotakikana. Ningependa kuwaambia wenzangu kwamba tulitembea katika Kaunti 47 na maoni ya BBI ni ya wananchi na wanataka Kenya iwe kitu kimoja. Maoni yao yalikuwa kwamba kama cheo cha rais ndicho peke yake kinaleta vita katika Kenya, tugawanye viti ndiyo kila mtu atosheke. Haya ni maoni ya wananchi na sio ya President Uhuru ama Raila."
}