GET /api/v0.1/hansard/entries/1067156/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1067156,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1067156/?format=api",
    "text_counter": 150,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Samburu CWR, KANU",
    "speaker_title": "Hon. (Ms.) Maison Leshoomo",
    "speaker": {
        "id": 379,
        "legal_name": "Maison Leshoomo",
        "slug": "maison-leshoomo"
    },
    "content": "Nataka kuwaambia wenzangu ambao wanapinga kwamba hawapingi hii Nyumba ama wakubwa, wanapinga wananchi ambao wametoa maoni yao katika BBI. Kawa hivyo, tuheshimu maoni ya wananchi kwa sababu wameongea na tuko na rekodi zote. Kama asilimia thelathini ya wananchi walikuwa wanasema hawataki wanawake katika Bunge kama waakilishi wa wanawake wa kaunti, lazima tukubali . Wananchi walisema vitu vingi virekebishwe na tuweke vingine."
}