GET /api/v0.1/hansard/entries/1067161/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1067161,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1067161/?format=api",
"text_counter": 155,
"type": "speech",
"speaker_name": "Murang’a CWR, JP",
"speaker_title": "Hon. (Ms.) Sabina Chege",
"speaker": {
"id": 884,
"legal_name": "Sabina Wanjiru Chege",
"slug": "sabina-wanjiru-chege"
},
"content": " Mhe. Naibu Spika wa Muda, Hoja yangu ya nidhamu ni kwa mama Leshoomo ambaye namheshimu sana. Labda katika hizo dakika nane amebakisha, ningetaka akizungumza katika hii Nyumba atuambie kama anazungumza kama mama ambaye ametembea Samburu ama aliyekuwa katika Kamati ya BBI. Hii ni kwa sababu ameninongónezea vile wananchi walisema. Wenzetu wamezungumza kwa niaba ya wananchi na amesahau walitumwa na wao. Kwa hivyo, katika hizo dakika zingine nane ahimize anazungumza vile alisikia kutoka kwa wananchi kwa sababu wako na nguvu na walituchagua na kutupatia Katiba ya Kenya, 2010. Pia ametupatia…"
}