GET /api/v0.1/hansard/entries/1067634/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1067634,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1067634/?format=api",
"text_counter": 154,
"type": "speech",
"speaker_name": "Samburu CWR, KANU",
"speaker_title": "Hon. (Ms.) Maison Leshoomo",
"speaker": {
"id": 379,
"legal_name": "Maison Leshoomo",
"slug": "maison-leshoomo"
},
"content": "Naibu Spika, wananchi walikataa suala la uteuzi wa wawakilishi wadi na Wabunge lakini wataalam waliangalia sheria itakayotumika kutatua suala hili. Katika Kamati yetu, tulikuwa na wakili, wazee wa dini, akina mama na wataalam wanaoelewa masuala ya Kenya."
}