GET /api/v0.1/hansard/entries/1067664/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1067664,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1067664/?format=api",
    "text_counter": 184,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Likoni, ODM",
    "speaker_title": "Hon. (Ms.) Mishi Mboko",
    "speaker": {
        "id": 874,
        "legal_name": "Mishi Juma Khamisi",
        "slug": "mishi-juma-khamisi"
    },
    "content": " Asante sana Mhe. Naibu Spika. Nachukua nafasi hii kuunga mkono Mswada huu ambao tunaita mpango maarufu ama kwa lugha ya Kingereza popular initiative . Ningetaka kusema Mswada huu umekuja kwa sababu tulikuwa na machukio mengi sana katika taifa letu la Kenya. Kwanza tukiangalia ghasia nyingi za uchaguzi The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}