GET /api/v0.1/hansard/entries/1067804/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1067804,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1067804/?format=api",
"text_counter": 324,
"type": "speech",
"speaker_name": "Ruiru, JP",
"speaker_title": "Hon. Simon King’ara",
"speaker": {
"id": 13468,
"legal_name": "Simon Nganga Kingara",
"slug": "simon-nganga-kingara-2"
},
"content": " Asante sana, Mhe. Spika wa Muda kwa kunipatia mwanya huu ingawaje tumengojea sana. Kwanza kabisa, naunga mkono Mswada huu ulio mbele yetu. Ni vizuri kuwakumbusha Wabunge wenzangu kuwa wakati tulichaguliwa kwa Bunge, tuliangalia wale Wabunge wako na idadi kubwa sana ya wafuasi na nikapata kuwa ni Wabunge 80 peke yake ambao wana watu wengi katika Bunge hili. Wakati tulienda kwa Spika kujaribu kuangalia vile tunaweza kuwa na usawa, tulikuwa na changamoto kupata nafasi. Kwa hivyo, wakati tumepata nafasi ya kuhusishwa na kusema mapendekezo yetu, nimeona ni jambo la busara sana."
}