GET /api/v0.1/hansard/entries/1067805/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1067805,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1067805/?format=api",
"text_counter": 325,
"type": "speech",
"speaker_name": "Ruiru, JP",
"speaker_title": "Hon. Simon King’ara",
"speaker": {
"id": 13468,
"legal_name": "Simon Nganga Kingara",
"slug": "simon-nganga-kingara-2"
},
"content": "Ukiangalia Mswada huu na yale marekebisho yako mbele yetu, moja ya muhimu, isipokuwa inakuja kwa pole pole, ni kuwa Mswada huu unataka tuwe na uwuiano kwa Afrika Mashariki na hasaa Afrika kwa jumla. Pia ni pendekezo la Mheshimiwa Suluhu wakati alikuja hapa. Aliongea vile tunaweza kuwa na usawa na maendeleo lakini maendeleo hayawezi kupatikana kama hakuna uhuru na suluhu ya maendeleo yale. Jambo moja la kufanya kutafuta suluhu ya maendeleo yale ni kuwa na usawa katika usambazaji wa rasilimali ya Serikali na vile vile usawa katika mambo ya kazi za mashinani hasaa maeneo Bunge."
}