GET /api/v0.1/hansard/entries/1067809/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1067809,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1067809/?format=api",
    "text_counter": 329,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Ruiru, JP",
    "speaker_title": "Hon. Simon King’ara",
    "speaker": {
        "id": 13468,
        "legal_name": "Simon Nganga Kingara",
        "slug": "simon-nganga-kingara-2"
    },
    "content": "Saa hii nikisimama hapa nikichangia, wale watu wanataka bursary kwangu, wale ambao wamekuja kuomba bursary kwangu kutoka Eneo Bunge la Ruiru, ni watu 90,000. Watu 90,000 wameleta fomu kwenye meza yangu lakini pesa ambazo niko nazo ni Ksh30 milioni peke yake. Ukigawa pesa hizo, kila mtu atapata Ksh333 peke yake. Ninawakilisha nani? Usawa uko wapi katika usambazaji wa rasilimali ya Serikali? The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}