GET /api/v0.1/hansard/entries/1067810/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1067810,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1067810/?format=api",
    "text_counter": 330,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Ruiru, JP",
    "speaker_title": "Hon. Simon King’ara",
    "speaker": {
        "id": 13468,
        "legal_name": "Simon Nganga Kingara",
        "slug": "simon-nganga-kingara-2"
    },
    "content": "Kwa hivyo, ombi langu ni kuwa watu wakumbuke jinsi watu kama King’ara wanakaa kule na watu hao. Haitawezekana kuwa na maendeleo mwafaka katika Eneo Bunge la Ruiru na maeneo mengine yalio na watu wengi kama hakuna usawa katika usambazaji wa rasilimali ya Serikali."
}