GET /api/v0.1/hansard/entries/1067811/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1067811,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1067811/?format=api",
    "text_counter": 331,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Ruiru, JP",
    "speaker_title": "Hon. Simon King’ara",
    "speaker": {
        "id": 13468,
        "legal_name": "Simon Nganga Kingara",
        "slug": "simon-nganga-kingara-2"
    },
    "content": "Jambo lingine ningependa kugusia ambalo linaweza kuleta maendeleo mema ni kama mawaziri watatoka katika Bunge. Mawaziri wakitoka katika Bunge, pesa za Serikali hazitatumika sana kwa sababu wengi watakuwa wamechaguliwa kutoka Bunge. Lakini changamoto ni vile imeandikwa pale eti “labda wanaweza”. Ningeomba ikiwa inaweza kuwa lazima watoke katika Bunge. Ikiwa hivyo, hata ule uoga haungekuwa na sisi."
}