GET /api/v0.1/hansard/entries/1067819/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1067819,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1067819/?format=api",
"text_counter": 339,
"type": "speech",
"speaker_name": "Ruiru, JP",
"speaker_title": "Hon. Simon King’ara",
"speaker": {
"id": 13468,
"legal_name": "Simon Nganga Kingara",
"slug": "simon-nganga-kingara-2"
},
"content": " Kabla sijatamatisha, asante sana. Mambo ya jinsia ni ya maana sana. Wakati kutakuwa na usawa katika utekelezaji wa mambo, haswa ya kiserikali, hilo naunga mkono. Wakati Katiba hii imesema tukumbuke akina mama wetu au jinsia hiyo, naunga mkono. Haya ni maneno ambayo yataleta maendeleo. Hata kama huenda Katiba isiwe mia kwa mia, kwa nini tusiiunge mkono kama imefika tisini kwa mia au sabini kwa mia? Mimi naunga mkono."
}